WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

Описание к видео WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

WAZIRI SILAA AAGIZA BAKARI SHINGO AKAMATWE kwa KUSABABISHA MGOGORO kwa MADEREVA BAJAJI - "TAPELI"...

Waziri wa Ardhi nyumba na maendeleo ya Mkakazi Jerry Silaa amemuagiza mkuu wa polisi Gongo la Mbotokumkamata bwana mmoja aliyefahamika kwa majina Bakari Shingo na wenzie akiwemo msimamizi wa eneo hilo kutokana na kudaiwa kusababisha mgogoro wa eneo la maegesho ya bajaji katika mtaa wa Gongo la Mboto ilala jijini Dar Es Salaam.

Aidha Silaa amemtaka mkuu wa mipango miji halmashauri ya jiji la Dar Es Salaam kumilikisha eneo hilo la maegesho ya bajaji kwa mkurugenzi wa jiji na kumtaka aweke utaratibu mzuri wa malipo kwa madereva wa waliokuwa wakipaki eneo hilo ikiwemo kuwapunguzia ushuru kutoka shilingi elfu 2500 waliyokuwa wkilipa awali hadi kufikia shilingi elfu moja 1000.

Waziri Silaa ametoa maagizo hayo alipofanya ziara ya kushtukiza kwenye eneo hilo baada ya kuwepo mgogoro huo ambao umezua taharuki hasa kwa madersva bajiji waliokuwa wakifanya kazi eneo hilo kutolewa na anayedai kuwa ndiye mmiliki.

============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке