WAZIRI SILAA ATINGA KARIAKOO KUTATUA MGOGORO wa JENGO LILILOTOLEWA WAQFU - "OCD MADRASA IRUDI LEO"..

Описание к видео WAZIRI SILAA ATINGA KARIAKOO KUTATUA MGOGORO wa JENGO LILILOTOLEWA WAQFU - "OCD MADRASA IRUDI LEO"..

WAZIRI SILAA ATINGA KARIAKOO KUTATUA MGOGORO wa JENGO LILILOTOLEWA WAQFU - "OCD MADRASA IRUDI LEO"..


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameingilia kati mgogoro wa eneo la jengo la ghorofa lilipo Kariakoo jijini Dar es salaam ambalo sehemu ya jengo hilo lilitolewa Waqfu na marehemu Sheikh Mohamed Ardini ambaye aliacha usia.

Waziri Silaa alifika eneo hilo ambalo limekuwa na ugomvi mkubwa wa ndugu ambao ni watoto wa marehemu Ardini waliogawanyika katika pande mbili zinazokinzana kuhusu usia wa kuwekwa Waqfu eneo la Madrasa katika jengo hilo.

Aidha, baada ya kusikilizwa kwa pande mbili za ndugu ambao ni watoto wa marehem Mzee Ardini Waziri Silaa aliamuru kurejeshwa kwa Madrasa ambayo ilikuwa ndio usia wa marehem.

Awali, ndugu wawili wanao pingana na wenzao waliamua kuhamishwa kwa madrasa hiyo nje ya eneo hilo la Kariakoo na kumuuzia mtu mwingine sehemu ya kengo hilo.

⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке