Halima Mdee na Ester Bulaya Wamgeuzia Kibao Ndugai, Kumburuza Mahakamani

Описание к видео Halima Mdee na Ester Bulaya Wamgeuzia Kibao Ndugai, Kumburuza Mahakamani

Halima Mdee na Ester Bulaya wamesimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge kwa muda wa mwaka mmoja. Siku chache baada ya uamuzi huo wa Spika Job Ndugai, wabunge hao wamefunguka ya moyoni na kumtolea uvivu spika huyo kwamba asidhani yupo juu ya sheria.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kwa upande wa Ester Bulaya, alisema Ndugai amekuwa kiongozi wa uvunjifu wa amani bungeni akifuatiwa na wafuasi wengine wa CCM, lengo lao likiwa ni kuwanyamazisha wapinzani. Akakumbushia tukio la spika huyo kumpiga mpinzani wake wakati wa harakati za kura za maoni na kumuelezea kwamba ni mtu asiyewedha kudhibiti hasira na ambaye viatu vya ubunge havimtoshi.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Bulaya amesema yeye ndiye aliyewashawishi wenzake wagome na kutoka bungeni lakini alifanya hivyio kama kiongozi kuwalinda wabunge wake wasiendelee kutukanwa na kudhalilishwa na wafuasi wa CCM.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kwa upande wa Halima Mdee, yeye alisema Ndugai na wabunge wa CCM lazima waelewe kwamba bunge linaongozwa kwa sheria na kwa sababu hii si mara ya kwanza wao kusimamishwa, watakwenda mahakamani kuhakikisha haki inapatikana.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Mdee aliongeza kuwa Ndugai anajua kwamba alifanya makosa ndiyo maana anaogopa wao wasiende mahakamani lakini lazima watafute haki mahakamani. Akazungumzia suala la polisi wa bunge kuondolewa bungeni kwa kushindwa kumshughulikia Mnyika kisawasawa kuwa ni dalili ya hatari kwa bunge.
Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe    / uwazi1  
Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya…
   / uwazi1  
   / uwazi1  
   / uwazi1  
WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/
FACEBOOK:   / globalpublishers  
TWITTER:   / globalhabari  
INSTAGRAM:   / globalpublishers  

Комментарии

Информация по комментариям в разработке