Fahamu jinsi Makaa ya Mawe yanavyochimbwa kutoka Mgodi wa Ngaka, Ruvuma.

Описание к видео Fahamu jinsi Makaa ya Mawe yanavyochimbwa kutoka Mgodi wa Ngaka, Ruvuma.

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) kwa kushirikiana na Intra Energy Company Limited ya nchini Australia wanaendesha kwa ubia mgodi wa Makaa ya Mawe wa Ngaka, mkoani Ruvuma.

Makaa ya Mawe yanayozalishwa katika mgodi huu hutumika katika viwanda mbalimbali ndani na nje ya nchi hivyo kuwa chanzo kikubwa cha mapato kwa Taifa.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке