Hotuba Ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akilipongeza Kanisa La TAG Kutimiza Miaka 85.

Описание к видео Hotuba Ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akilipongeza Kanisa La TAG Kutimiza Miaka 85.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akihutubia Waumini Wa Kanisa La TAG jana Julai 14, 2024 ambapo alimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Miaka 85 ya kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) yaliyofanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam.

Follow @paziatv @johnpazia Kupata habari Kubwa za Gospel Tanzania 🙏.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке