ROHO YA MAUTI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео ROHO YA MAUTI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Mahali panapokuwepo na roho ya mauti sio rahisi kugundua, na watu wengi wanahitaji msaada maombi wa wakati uharibifu umekwisha kutokea.

"Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti."
Mithali 14:12

Maandiko hapa yanamzungumzia mtu ambaye ni makini sana, aliyetafakari na kuona njia hii ni njema. Macho ya mtu ya kawaida ni ngumu kugundua njia isiyo njema.
roho ya ya mauti huwa haionekani mwa jambo, inagundulika mwishoni ikiwa imeleta madhara.

Kitu ambacho hii roho inafanya kazi ni ili iweze kutimiza azima yake, inakutenga na sehemu unayopaswa kupata msaada, kama una marafiki ambao ni waombaji wanao maanisha, utajikuta huhitaji tena kuomba nao na unaenda kutafuta watu ambao hawawezi kukusaidia.

#PastorSunBella#Roho#Mauti

Комментарии

Информация по комментариям в разработке