NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

Описание к видео NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO

HESABU 24:17
17.Namwona, lakini si sasa;
Namtazama, lakini si karibu;
Nyota itatokea katika Yakobo
Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli;
Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu,
Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia
MATHAYO 1:1-16
1 Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu.
2 Abrahamu alimzaa Isaka; Isaka akamzaa Yakobo; Yakobo akamzaa Yuda na ndugu zake;
3 Yuda akamzaa Peresi na Zera kwa Tamari; Peresi akamzaa Esromu; Esromu akamzaa Aramu;
4Aramu akamzaa Aminadabu; Aminadabu akamzaa Nashoni; Nashoni akamzaa Salmoni;
5 Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu; Boazi akamzaa Obedi kwa Ruthu; Obedi akamzaa Yese;
6 Yese akamzaa mfalme Daudi.
Daudi akamzaa Sulemani kwa yule mke wa Uria;
7 Sulemani akamzaa Rehoboamu; Rehoboamu akamzaa Abiya; Abiya akamzaa Asa;
8Asa akamzaa Yehoshafati; Yehoshafati akamzaa Yoramu; Yoramu akamzaa Uzia;
9 Uzia akamzaa Yothamu; Yothamu akamzaa Ahazi; Ahazi akamzaa Hezekia; 10Hezekia akamzaa Manase; Manase akamzaa Amoni; Amoni akamzaa Yosia;
11 Yosia akamzaa Yekonia na ndugu zake, wakati wa ule uhamisho wa Babeli.
12 Na baada ya ule uhamisho wa Babeli, Yekonia akamzaa Shealtieli; Shealtieli akamzaa Zerubabeli;
13Zerubabeli akamzaa Abihudi; Abihudi akamzaa Eliakimu; Eliakimu akamzaa Azori;
14Azori akamzaa Sadoki; Sadoki akamzaa Akimu; Akimu akamzaa Eliudi; 15Eliudi akamzaa Eleazari; Eleazari akamzaa Matani; Matani akamzaa Yakobo;
16 Yakobo akamzaa Yusufu mumewe Mariamu aliyemzaa YESU aitwaye Kristo.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке