Je, Unamjua Jirani Yako?

Описание к видео Je, Unamjua Jirani Yako?

Je unamfahamu jirani yako vyema? Kufwatia visa vya ubakaji au hata utekaji nyara, famila nyingi sasa zimeamua kujitenga na majirani wao katika juhudi za kujikinga, hivi idadi kubwa ya wakenya hawana habari kuhusu tabia au mienendo ya majirani zao. Ni mwenendo ambao unaonekana kutoa nafasi kwa wahalifu ambao sasa hawana hofu ya kujificha katikati mwetu. Mwanahabari Esther Kahumbi alizuru tena mtaa wa Githurai ambapo washukiwa wawili wa ugaidi waliuwawa na maafisa wa polisi juma lililopita.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке