Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA

Описание к видео Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA

Mzee Anena MAZITO kwa RC HAPI kwa Kubomolewa NYUMBA

Mkuu wa Mkoa amemsweka ndani diwani viti maalumu kupitia chama cha Demokrasi na Maendeleo Chadema kata Kihesa Silestina Jonso kwa kuamulisha mgambo kuvunja nyumba na mwananchi wake Lonjino Utenga.

Lonjino Utenga ambaye ni mwananchi wa Mtaa wa Kihesa alimwambia Mkuu wa Mkoa kuwa diwani huyo aliamua kufanya kitendo hicho kutokana na visa vya kusiasa.

Akisikiliza juu ya kero hiyo kutoka kwa wananchi huyi Mkuu wa Mkoa Ally Hapi alilazimika kuwaita viongozi mbalimbali wa Mtaa huo ilikuweza kupata ukweli wa jambao

Baada ya kujilidhisha na maelezo mbalimbali kutoka kwa viongozi hao ikiwa ni pamoja na Diwani huyo Mkuu wa Mkoa huo Ally Hapi amelazimika kuagiza jeshi la Polisi kumweka ndani diwani huyo.

Aidha baada ya kutoa maagizo hayo Mkuu huyo aliweza kuahidi kumchangia shilingi laki tano huku wadau mbalimbali wakiendelea kutoa michango na kuendelea kutoa ahadi.

bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe http://ww.youtube.com/c/uwazi FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   Visit https://globalpublishers.co.tz/, Suazi1    / uwazi1   WEBSITE:

https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK:   / globalpublis.  . TWITTER:   / globalhabari   INSTAGRAM:   / globalpubli  .

Комментарии

Информация по комментариям в разработке