Waridi wa BBC: ''Nilibakwa na wanaume watatu siku ya harusi yangu''

Описание к видео Waridi wa BBC: ''Nilibakwa na wanaume watatu siku ya harusi yangu''

Terry Gobanga ni mama wa watoto wawili aliyebakwa na wanaume watatu siku ya harusi yake nchini Kenya, lakini wapenzi hao waliamua kufunga ndoa tena baada ya muda. Baada ya siku ya 29 ya harusi hiyo mume wake akafariki.
Kwa hivi sasa ameolewa na amekuwa akiwasaidia wanawake wengine waliopitia hali kama yake.
#Wanawake #bbcswahili #Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке