Waridi wa BBC: 'Picha ya video ' ilivyosababisha kifo cha mume wangu

Описание к видео Waridi wa BBC: 'Picha ya video ' ilivyosababisha kifo cha mume wangu

Anne Sharon Hegnhof na mumewe ambaye ni wa asili ya Denmark wangekuwa wanasherehekea miaka kumi ya ndoa ambayo ameitaja kuwa na huba na upendo, ila tukio la mwaka wa 2018 lilizima ndoto za sherehe hiyo baada ya ajali mbaya kuwakuta wakiwa likizo nchini Uhispania.

Wawili hao walikuwa wakipiga 'selfie' na lori lililokuwa limepoteza muelekeo
kuligonga gari lao dogo na mume wake kufariki papo hapo.

‪@BBCNewsSwahili‬ #Kenya #mapenzi #waridiwabbc

Комментарии

Информация по комментариям в разработке