UTACHEKA LEONARDO ALIVYO PANDA KWENYE CHEKAPLUS/AMUAIBISHA HARMONIZE ADHARANI

Описание к видео UTACHEKA LEONARDO ALIVYO PANDA KWENYE CHEKAPLUS/AMUAIBISHA HARMONIZE ADHARANI

UZINDUZI WA #chekaplustv CH 414: Moja kati ya wachekeshaji waliokuwa wakisubiriwa kwa hamu ni pamoja na #laughs_on_leonardo ambaye kwanza alianza na mkwara wa ajabu, ambao wote tunajua anauweza kisawa-sawa 😂

Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 #utvtz

#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote

Комментарии

Информация по комментариям в разработке