Tom Daktari na utani wake kwa Harmonize - Uzinduzi CHEKA Plus TV

Описание к видео Tom Daktari na utani wake kwa Harmonize - Uzinduzi CHEKA Plus TV

UZINDUZI WA @chekaplustv CH 414: Kutoka Kenya +254, mchekeshaji @tomdaktari amekuja Bongo kumpa nguvu mshkaji wake @coy_mzungu na hapa anaanza kwa kusema yeye hajaja kumpa 'sapoti' amekuja ili akimbie mafuriko 😅

Uzinduzi ulikuwa LIVE muda mfupi uliopita kupitia #UTV108 @utvtz

#ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #azamtvburudanikwawote

Комментарии

Информация по комментариям в разработке