Uzalishaji wa Ndizi wapaa Bukoba/ Ndizi Chakula, Ajira na Biashara/Wakulima waeleza Mafaniko yao.

Описание к видео Uzalishaji wa Ndizi wapaa Bukoba/ Ndizi Chakula, Ajira na Biashara/Wakulima waeleza Mafaniko yao.

Wakulima wa zao la Migomba Mkoani kagera katika Wilaya ya Bukoba, wamenufaika na mradi wa Banana Agronomy ambao umewaletea Mafanikio makubwa wakulima hao kwa kufuata njia sahihi za ulimaji bora, nakupeleka kupata mazao mengi katika mashamba yao na kiasi cha pesa wanachopata wakifanya mambo ya maendeleo katika jamii inayowazunguka. Karibu kutazama sehemu ya simulizi hii ya Wakulima waliofanikiwa kupitia kwa wataalamu wa TARI-MARUKU na mradi wa BANANA AGRONOMY.
www.radiombiu.co.tz
#RmSautiYaFaraja
#NdiziChakulaAjiraNaBiashara

Комментарии

Информация по комментариям в разработке