MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 18/07/2024

Описание к видео MSHIKEMSHIKE - AZAM TV 18/07/2024

Tazama kipindi cha Mshikemshike Viwanjani kikiwa na habari kemkem ikiwemo Yanga kuwasili Afrika Kusini, nahodha wa Simba Mohamed Hussein azungumzia wachezaji walivyopokea taarifa za mechi yao dhidi ya Yanga SC kuchezwa Benjamin Mkapa Ngao ya Jamii.

Azam FC na Coastal Union zazungumzia kuhsu mechi yao ya Ngao ya Jamii Zanzibar

Комментарии

Информация по комментариям в разработке