Mvutano waibuka kuhusu chakula cha msaada Gachie, Kiambu

Описание к видео Mvutano waibuka kuhusu chakula cha msaada Gachie, Kiambu

Wakaazi wa vijiji vya kihara na Gachie kaunti ya Kiambu walizamia kituo cha polisi kwa mara ya pili kudai chakula cha msaada. Chakula hicho kinadaiwa kuhifadhiwa ndani ya kituo hicho kwa miezi mitatu sasa na kilipaswa kupewa waathiriwa wa mafuriko ila wanadai ngoja ngoja ya ni lini kitagawanywa ndio imekuwa sokomoko.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке