Kauli za wakenya baadaya hotuba ya Rais William Ruto hapo jana kuwapiga kalamu mawaziri

Описание к видео Kauli za wakenya baadaya hotuba ya Rais William Ruto hapo jana kuwapiga kalamu mawaziri

Katika hotuba ya Rais William Ruto hapo jana alikubali matakwa ya wakenya ya kuwapiga kalamu mawaziri wake,suala ambalo limeendelea kuibua hisia miongoni mwa wakenya baadhi wakionekana kuridhishwa na hatua ya rais ila kunao bado wamesalia kumtaka rais aondoke madarakani. Sasa tusikilize kauli za wakenya hao kuhusu hatua za rais kuliregesha taifa barabarani .

Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Комментарии

Информация по комментариям в разработке