HOTUBA YA RAIS RUTO AKIHUTUBIA KENYA, WANAJESHI KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI, WAHALIFU

Описание к видео HOTUBA YA RAIS RUTO AKIHUTUBIA KENYA, WANAJESHI KUPAMBANA NA WAANDAMANAJI, WAHALIFU

Kampuni ya Mwananchi Communications LTD wasambazaji wa magazeti ya Mwananchi, Thecitizen na Mwanaspoti Tanzania.

Ikiwa ni wiki ya pili tangu maandamano ya Gen Z ya kupinga muswada wa sheria ya fedha yaanze, Rais wa Kenya, William Ruto amesema kwa sasa anaangalia zaidi usalama wa Wakenya hivyo ameliagiza Jeshi la Ulinzi (KDF) kuingilia kati katika kutuliza amani.
Kauli ya Rais Ruto aliyoitoa usiku huu akilihutubia Taifa la Kenya inashindilia msumari katika kile alichokisema awali Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo, Aden Duale.

“Jeshi la Ulinzi (KDF) tumeliagiza kuingilia kati na kuwasaidia polisi katika kutuliza amani wakati huu wa dharura,”amesema Duale.
Akihutubia Taifa hilo leo usiku Rais Ruto amesema: “Nimeongeza vikosi vya usalama ili kukabiliana na viashiria vinavyohatarisha amani ya nchi yetu.”

Комментарии

Информация по комментариям в разработке