JINSI YA KUPIKA WALI KUKU WA TOFAUTI MZURI NA MTAMU/ CHICKEN RICE (LIME PLUS TAMARIND)

Описание к видео JINSI YA KUPIKA WALI KUKU WA TOFAUTI MZURI NA MTAMU/ CHICKEN RICE (LIME PLUS TAMARIND)

🍚 Jinsi ya kupika wali kuku wenye ladha nzuri na watofauti.
🍚Unaweza kutumia aina yeyote ile ya mchele mimi nimetumia basmat.
🍚Katika wali ili upate matokeo mazuri basi hakikisha una viungo vyote nilivyotumia kama kipo usichokipenda unaweza ukaacha tu.
🍚 Pia unaweza kutumia aina yeyote ya nyama ya kuku sio lazma upate mapa kikubwa iwe nyama ya kuku.
🍚Ukwaju ni vyema ukaloweka ili ulainike vizuri zaidi na kama si mkali sana si lazma kuongeza sukari katika mchuzi ulioandaa..

📌Usisahau kulike, comment na hata kushare na uwapendao..

📌Kwa list nzuri ya viungo vyote nilivyotumia usisite kutembelea page yangu ya instagram ya @iamrasheedah__ nitaweka list ya viungo vyote nilivyovitumia.

❤️ SHUKRAN❤️

Комментарии

Информация по комментариям в разработке