Biryani ya Kuku Kienyeji. Nyiie 🙌🙌 Taamu sana 🥰

Описание к видео Biryani ya Kuku Kienyeji. Nyiie 🙌🙌 Taamu sana 🥰

Kuku 1 mkubwa
vitunguu maji vikubwa 4
viazi vya chips 3 vikubwa
vyanya 6
gilgilani kiasi
maxiwa mgando 1/2 kikombe
paste ( kitunguu swaumu na Tangawizi) vijiko 2
mafuta vijiko 6
manjano kijiko cha chai
binzari nyembamba kijiko cha chai
garam masala kijiko cha chai
biryani masala kijiko cha chai


mchele vikombe 4
maji vikombe 8
chumvi kijiko cha chai
mafuta vijiko 3
rangi 1/4kijiko cha chai

Комментарии

Информация по комментариям в разработке