jinsi ya kutengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7

Описание к видео jinsi ya kutengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7

jinsi ya ku tengeneza home studio kwa kuzingatia haya mambo 7 ambayo nimeshare na wewe hapa ili kukifanya chumba chako cha home studio kiwezekuwa useable kwa matumizi ya recording na mixing

kwenye video hii ninaangazia acoustic treatment na home studio room dimensions

namna ya ku tengeneza mazingira rafiki kwa home studio kwa sehemu nzuri ya kutengenezea kazi zako za ubunifu

Комментарии

Информация по комментариям в разработке