Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo

Описание к видео Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki kwa wenye barget ndogo

Unapoanza kujishughurisha na sanaa ya muziki na uchakataji wa sauti.... Namna nzuri ya kununua vifaa vya studio ya Muziki huwa inakuwa changamoto hasa kama una badget ambayo haiwezi kukidhi uhitaji wote kwa mara moja hivyo kujikuta ukinunua vifaaa kimoja baada ya kingine. kwenye video hii nimekusaidia namna rahisi ya kufanya maamuzi ya kipi unaweza nunua kwanza kabla ya kingine ili uweze kuanza safari yako ya sanaa ya muziuiki wa namna hiliyo nzuri... ungana nami kuitazama video hii

Комментарии

Информация по комментариям в разработке