Jinsi ya kupika vitumbua vya maziwa vitamu sana kwanjia ya haraka na rahisi

Описание к видео Jinsi ya kupika vitumbua vya maziwa vitamu sana kwanjia ya haraka na rahisi

Mahitaji
Mchele glass moja
Maziwa glass moja
Mayai mawili
Sukari nusu glass
Iliki kijiko cha chai kimoja
Hamira kijiko cha kulia cha kula kimoja







Instagram:   / wardytor   You=atsuhg8wcefi

Комментарии

Информация по комментариям в разработке