KIPINDI UFUGAJI SAMAKI KWENYE MAENEO YENYE UKAME NA OEVU

Описание к видео KIPINDI UFUGAJI SAMAKI KWENYE MAENEO YENYE UKAME NA OEVU

Ufugaji wa samaki si jambo geni hata kidogo masikioni mwetu na wengi tunatambua kuwa ni shughuli inayohamkikishia mfugaji kipato na lishe mara baada ya kuvuna samaki hao..
Lakini mara nyingi tumezoea kuona shughuli hiyo ikifanyika maeneo yenye upatikanaji wa maji ya kutosha kwa kipindi chote cha mwaka jambo lililotufanya wengi tuamini kuwa maeneo kame hayawezi kufanyika shughuli hiyo na ubunifu mwingine wa kitaalam unaomuwezesha mfugaji wa samaki kufanya shughuli hiyo na kulima mpunga katika eneo moja na kwa wakati mmoja au watalaam wanaita “Samaki Mpunga”.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке