Jinsi ya kupika Biskuti tamu za Vanilla

Описание к видео Jinsi ya kupika Biskuti tamu za Vanilla

Siagi gram 300
Sukari gram 300
Maziwa ya maji au maji ml 200 (weka kidogo kidogo
Unga wa Ngano gram 500
Baking powder gram 5
Chumvi 1/2 tsp
Ladha ya Vanilla 1 Tbsp

Kitabu cha Biskuti za Biashara ni
sh 10,000
Ukishalipia unatumiwa kitabu chako kwenye simu (WhatsApp au E-mail)

Kulipia👇
Lipa Namba: 56709571
Jina: LILYANAPIKA
Mtandao: M-PESA

Kisha tuma screenshot ya muamala wako WhatsApp 0718553999

Комментарии

Информация по комментариям в разработке