Jinsi Ya Kutengeneza kalmati /Kalmat tamu na laini/Kalmat kwa biashara

Описание к видео Jinsi Ya Kutengeneza kalmati /Kalmat tamu na laini/Kalmat kwa biashara

karibu vivi kitchen

Music: Lovely Piece
Musician: DaFox
URL: https://pixabay.com/music/-lovely-pie...

#kalmati
#Kalmat tamu
#ubuyu
#rojo
#kashata
#cooking chanell
#biashara
#Mafanikio
#recipe
#business
#Hatua
##foodie
#cakerecipe
#karanga
#maandazi









vivi sweet kalmat

Mahitaji
1:unga kg 1
2:sukari vijiko 10-12 au punguza
3:mayai 1-3
4:Hamira kijiko cha chakula 1
5:maji/ Maziwa/ Tui la nazi ( ya baridi)
6:Iliki kadiria
7:chumvi (ukipenda)
8:Vanilla kijiko kidogo
9:Mafuta kula

Vivi sweet kalmat

Hatua

1:Chekecha unga
2:katika chombo kipana weka unga,hamira,sukari,iliki chumvi changanya
3:Kisha anza kuweka maji/ maziwa/tui koroga (tumia mwiko)
4:Mchanganyiko usiwe mwepesi sana wala mzito sana
5:Mchanganyiko ukichanyika vizuri weka mayai + Vanilla
6:Uache uumuke kwa nusu saa
7:Ukiumuka unakuta umepanda juu,koroga ili kutoa hewa
8:Andaa mafuta ,yapate moto( zingatia moto uwe wa wastani ili kalmat ziive vizuri
9:Tengeneza shape ya duara( Tumia uwazi uliopo kati ya kudole gumba na kidole cha shahada
10:kalmat zikiiva ziweke katika chujio
11:bidhaa ipo tayari

Kama utahitaji kuweka shira nje ya kalmat

Unapoanza kuweka vitu vikavu kwa ajili ya kuandaa kalmati usiweke sukari

Uandaaji shira la kalmat

Sukari robo kg
Maji kikombe cha nusu
Vanilla
Chemsha shira hadi hapo utakapoona limeanza kunata,ukishika kwa vidole lina nata kana asali
Tia kalmat kisha peta zienee shira,endelea kupeta hadi utakapoona zimekuwa na weupe

Vivi sweet kalmat

Cont 0629216326

[email protected]

Mikono yako kiwanda chako jiajiri Anza leo

Комментарии

Информация по комментариям в разработке