Said Sued asimulia Simba SC ilivyoitupa nje Zamalek mwaka 2003

Описание к видео Said Sued asimulia Simba SC ilivyoitupa nje Zamalek mwaka 2003

Huyu ndiye Said Hamisi Sued, beki aliyekatisha masomo kwaajili ya Simba SC. Alikuwepo katika kikosi cha mnyama kilichoitoa Zamaleki mwaka 2003, kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке