IBADA MAALUM - MAHUSIANO & UCHUMI:NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA MAUTI INAYOUA MAHUSIANO & UCHUMI KWA SIRI

Описание к видео IBADA MAALUM - MAHUSIANO & UCHUMI:NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA MAUTI INAYOUA MAHUSIANO & UCHUMI KWA SIRI

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya MAHUSIANO NA UCHUMI. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 21 Mei 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "NAMNA YA KUSHUGHULIKA NA MAUTI INAYOUA MAHUSIANO NA UCHUMI KWA SIRI" kutoka kitabu cha Zaburi 23:6, "Hakika wema na fadhili zitanifuata siku zote za maisha yangu, nami nitakaa nyumbani mwa BWANA milele."

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке