IBADA MAALUM JUU YA MAHUSIANO NA UCHUMI: NAMNA YA KUSHINDA VITA YA KUKARIBIA KUPATA

Описание к видео IBADA MAALUM JUU YA MAHUSIANO NA UCHUMI: NAMNA YA KUSHINDA VITA YA KUKARIBIA KUPATA

BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya MAHUSIANO NA UCHUMI. Ibada hii ni maalum kabisa kwa ajili ya kutatua changamoto zote na kupata upenyo katika mahusiano na uchumi na yenye maelekezo ya kupita kwenye madhabahu inayokujia leo Jumapili ya tarehe 23 Aprili 2023 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.

Ibada hii ina kichwa cha somo "NAMNA YA KUSHINDA VITA YA KUKARIBIA KUPATA" kutoka kitabu cha Luka 21:15, "Kwa sababu mimi nitawapa kinywa na hekima ambayo watesi wenu wote hawataweza kushindana nayo wala kupinga."

Ibada hii inaongozwa na Mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке