KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Tamu ZISIZONYONYA MAFUTA

Описание к видео KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Tamu ZISIZONYONYA MAFUTA

Kalimati | Kaimati. jinsi ya kupika kalimati Tamu zisizonyonya mafuta. mahitaji yake Ni Rahisi kwa kila familia.
MAHITAJI;
unga wa ngano (robo kilo)
sukari (Kijiko 1 cha chakula)
hamira (nusu Kijiko cha chakula)
baking powder (nusu Kijiko cha chai)
Chumvi (nusu Kijiko cha chai)
MAZIWA ya unga (vijiko 2 vya chakula)
vanilla (Kijiko 1 cha chai)
mafuta ya kupikia (vijiko 2 vya chakula)
maji ya vuguvugu (280-300ml)
sukari (robo kilo kwa ajili ya shira)
maji (130ml ya shira)
limao (Kijiko cha chakula kwa ajili ya shira)

#kalimati #kaimati #kalmati #jinsiyakupikakalimatitamu #belsfarmkitchenswahili
#jinsiyakupikakalimatizisizonyonyamafuta

Комментарии

Информация по комментариям в разработке