VIKINDU MJINI VIWANJA VIZURI VILIVYOPIMWA BEI NI MSEREREKO...[Tsh. 9000/= tu kwa Sqm]

Описание к видео VIKINDU MJINI VIWANJA VIZURI VILIVYOPIMWA BEI NI MSEREREKO...[Tsh. 9000/= tu kwa Sqm]

#VIWANJABORA
#REALESTATETZ
#WEKEZAKATIKAARDHILEO
#CHANJO
#CORONA
#CHANJOYACOVID19
#WEKEZABONGO
#realestateinvesting #realestatemarketing #realestateadvice #realestateproperties #realestateagent #realestatenepal #realestatebusiness #realestateanalysis #realestateagents #realestateagentdayinthelife #realestateadstelugu #realestatebroker #realestatebykarthik #realestatecoach #realestatecrash2021 #realestatedevelopment #realestatefacebookads #realestateforsale #realestateinvestment #realestateinvest #realestatelicense #realestatemarket #realestatemistakes #realestatephotography #realestatepodcast #realestatetraining #realestatevideography #realestatevideo

🔖Kwa sasa tuna mradi wa viwanja mkubwa mmoja upo vikindu mjini(Kidubwa).

Upo km 2.5 kutokea barabara kuu ya Kilwa road(stend) pia upo nusu kutokea barabara kuu ya Vianzi.

Viwanja vimepimwa kwa ukubwa wa ft 40 kwa 50 ambapo kama nitazibadili kwenye mita ni sawa na m 13 kwa 16.

Bei ya kiwanja kimoja ni Tsh. 1,800,000/= pamoja na uhandishi kwenye serikali ya kijiji/mtaa. Kwa wale walozoea kununua viwanja kwa sqm basi sqm moja ni sawa na Tsh. 8900/=

Viwanja vimepangiliwa vizuri kwa mitaa/blocks ambapo kwa mwenye kuhitaji kikubwa anaweza kuunga viwili na kuendelea.....

Hivyo kwa wale wanaohitaji 20 kwa 20 (sqm 400) hivyo wachukue hiyo Tsh.8900×400=3,568,800

HUDUMA ZA KIJAMII: zipo maji, umeme, shule na hospitali ila umeme ni takribani nguzo nne kufika viwanjani kabisa hivyo ukiwa site nguzo za umeme unaziona zilipoishia.

ARDHI YAKE: ni tambarare na udongo wake ni wa kichanga. Majirani wapo na wanaishi kiufupi ni sehemu inayojengeka kwa kasi.

MALIPO: yapo ya namna zote mbili ukiwa na uwezo utalipa Cash ila kama unahitaji kwa Installment basi utaanza na milioni moja kisha kinachobakia utapewa robo mwaka(miezi mitatu)

KUHUSU NYARAKA MUHIMU: zinapatikana sales agreement kutoka serikali ya mtaa/kijiji.

USAFIRI WA KUFIKA SITE:
Upo wa bajaji na bodaboda pia sisi wenyewe tumewawekea usafiri bure kutokea stendi ya vikindu hadi site ili kukuwepesishia na kukufanyia zoezi la kuona viwanja kuwa rahisi.

UAMINIFU: tunafanya kazi kwa kuchunga mipaka ya kisheria hivyo tunakuhakikishia kukulindia amana yako hadi mwisho kwa kipindi chote cha mkataba endapo utalipa kwa installment. ~HAKUNA UTAPELI~ 🚫

Huu ni mradi wa Tano...

Kama utahitaji kiwanja chenye bei ya chini kulingana na uwezo wako basi nijulishe kwa kunitumia meseji in box nikusaidie.

TUPIGIE SIMU KWA MAELEZO ZAIDI.

0747141871

INSTAGRAM
@aisam.bestland. https://www.instagram.com/invites/con...

Комментарии

Информация по комментариям в разработке