MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

Описание к видео MJI MPYA || Ifahamu Kange Uzunguni ndani ya jiji la Tanga

Mwandishi wetu Mariam Shedafa amefanya ziara katika makazi yanayokua kwa kasi jijini Tanga ya eneo la Kange.
Eneo hili la Kange ilipo stendi ya mabasi yaendayo mikoani pia ina eneo ambalo wakazi wake wameliita Kange Uzunguni; kwanini wameliita jina hilo?
Ungana na Mariam Shedafa

Комментарии

Информация по комментариям в разработке