POTATO CHOPS Kiswahil

Описание к видео POTATO CHOPS Kiswahil

Mahitaji : utapata chops 8

Mbatata kiasi pound 1 ( menya, kata, chemsha, saga)
Nyama ya kusaga kiasi 1/2 pound
Kitunguu cha kiasi 1
Majani ya kotmiri/Giligilani kifungu kidogo
Kitungu thom chembe 4
Tangawizi mbichi kijiko kidogo 1
Unga wa bizari nyembamba kama utapenda
Chumvi kiasi
Pilipili manga ya unga nusu kijiko kidogo
Ndimu au limao kiasi

Bread crumbs - 1/2 cup
Mayai 1
Mafuta ya kukaangia

Комментарии

Информация по комментариям в разработке