''MAMA AMEFUNGUA POCHI - WAKULIMA NJOONI MKOPE - BILIONI 30 ZATENGWA MIKOPO KWA WAKULIMA'' - TADB...

Описание к видео ''MAMA AMEFUNGUA POCHI - WAKULIMA NJOONI MKOPE - BILIONI 30 ZATENGWA MIKOPO KWA WAKULIMA'' - TADB...

''MAMA AMEFUNGUA POCHI - WAKULIMA NJOONI MKOPE - BILIONI 30 ZATENGWA MIKOPO KWA WAKULIMA'' - TADB...

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), kupitia Mfuko wa Dhamana wa Wakulima Wadogo (SCGS), imeingia makubaliano na Benki ya Exim kutoa dhamana ya mikopo ya jumla ya Shilingi bilioni 30 kwenye minyororo ya thamani ya kilimo, mifugo na uvuvi kwa kipindi cha miaka mitano.

Mkataba kati ya pande hizo mbili umesainiwa makao makuu ya TADB jijini Dar es Salaam, ambapo utaiwezesha TADB kuchagiza upatikanaji wa mitaji kwa wakulima kupitia Benki ya Exim ambayo itatoa mikopo kwenye mnyororo wa thamani wa kilimo, mifugo na uvuvi.

TADB itatoa dhamana ya hadi asilimia 70 kwa mikopo yote hususani kwa vijana, wanawake na miradi inayosaidia kupungunza au kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.

Wachakataji wadogo na wakati (MSMEs) na wakulima wadogo wa mazao ya kilimo, mifugo na uvuvi wataendelea kunufaika kupitia ushirikiano huu kwa mikopo itakayotolewa na Benki ya Exim kote nchini.


Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

Комментарии

Информация по комментариям в разработке