#TBC1

Описание к видео #TBC1

Kipindi hiki Cha Wekeza Tanzania kinakupeleka site ukajionee uwekezaji unaofanyika katika maeneo mbalimbali. Hapa unashuhidia Kituo kikubwa Cha umeme Cha Uhuru-Urambo mkoani Tabora ambacho kinaenda kupeleka umeme wa uhakika katika Wilaya za Urambo na Kaliua.Mtangazaji - Vumilia Mwasha Mwongozaji- Neligwa Muggitu Mdhamini- Azania Bank

Комментарии

Информация по комментариям в разработке