'PAKA' ALIYEKUWA ANATAFUTWA CHUNYA, AMEPATIKANA; MHE SHUMBI AFAFANUA

Описание к видео 'PAKA' ALIYEKUWA ANATAFUTWA CHUNYA, AMEPATIKANA; MHE SHUMBI AFAFANUA

Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Chunya Mhe Ramadhan Shumbi amesema 'Hatutaki rangi ya Paka, Bali Paka anayekamata Panya'. Amesema tarajio la wanaChunya ni Maendeleo na sio vinginevyo

Mhe Shumbi ametoa Kauli hiyo wakati akizungumza na baadhi ya wananchi wa kata ya Nkung'unga wakati kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ilipanya ziara yake kuhimiza ukusanyaji wa Fursa katika Ujenzi wa Shule ya Sekondari Nkung'ungu ambapo Serikali ya awamu ya sita imeleta zaidi ya shilingi milioni mia tano na themanini na tatu.

Aidha Mhe Shumbi kwa niaba ya kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango amewaonya wananchi wa Nkung'ungu na wananchi wa Chunya kwa Ujumla kuhakikisha wanaepuka wizi wa vifaa vya Ujenzi pindi miradi inapotekelezwa katika maeneo yao.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке