Peter Ngugi atambulisha ubunifu wake wa IME FM

Описание к видео Peter Ngugi atambulisha ubunifu wake wa IME FM

Akiwa na miaka ishirini na miwili Peter Ngugi anajitambulisha kama mmiliki wa chombo cha habari ambacho hutembea nacho kila anakoenda.
Kituo cha Radio cha IME FM hakijulikani na wengi katika kaunti ya nakuru ila kwa wakaazi wa kijiji hicho. Mwanahabari wetu wa Nakuru Brygettes Ngana alienda Kijijini Ime na hii hapa taarifa yake.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке