INGEKUWA HERI LEO | Instrument

Описание к видео INGEKUWA HERI LEO | Instrument

Ndungu yangu katika Kristo, karibu tuendelee kumshukuru Mungu kwa vipaji na karama za watunzi mbalimbali kwa kusikiliza tungo zao kwa njia ya ala. Leo tunaburudika kipekee na wimbo wa mtunzi na mwalimu nguli wa muziki mtakatifu Mwl. John Mgandu.

Wimbo: Ingekua Heri leo
Mtunzi: John Mgandu
Organist: Eng.Fridolinus Boniphace Mushobozi
Sound Engineer: Fabian Mutayoba
Studio: Holy trinity studios.

Tubarikiwe sote, Karibu Subscribe, like, share na comment.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке