Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )

Описание к видео Annoint Amani = Wewe ni Nani ? ( official video )

#weweninani#

Nikweli ni vizuri kusaidiana ili kila mtu afikie malengo,Lakini unapo pokea msaada Kumbuka Mungu ndie alie mleta kwako huyo mtu, ili usaidiwe kwa jambo lako kama ni Jema,

hivyo kwakua Mungu ndo anae tuletea watu ili watusaidie kwa mambo mema,
Bas usijarbu kukubali msaada utakao vunja uhusiano wako na Mungu au kuvuka mipaka kias cha kusahau kuwa wote ni wanadamu na Mungu aliwapa wengine kwanza ili wasaidie wengine.

( Kila mtu Duniani ana jambo ambalo linaweza kumpeleka kwenye hatima yake kama atalifanyia kaz mapema na kwa uwaaminifu)

hivyo wale wote wenye moyo wa kusaidia watu walio pungukiwa msivunjwe moyo,
Na wale wasio na shukuran wasikufanye uache kutoa misaada,
Kumbuka alie kutuma kwa huyo mtu ni Mungu hivyo malipo ya iyo kazi yako njema utayapata kwa Mungu mwenyewe)

👇

It is true that it is good to help each other so that everyone can reach their goals, but when you receive help, remember that God brought that person to you, so that you can be helped in your matter if it is good.

so God wants us to bring people to help us with good things,
So don't try to accept help that will break your relationship with God or go beyond the limits of forgetting that they are all human and God gave them to others first so that they can help others.

(Every person in the world has something that can lead him to his destiny if he works early and honestly)

so all those who have the heart to help people who are in need, do not be discouraged,
And those who are ungrateful should not make you stop giving aid,
Remember that the one who sends to that person is God, so the reward for your good work you will get from God himself )

Artist,Annoint Amani

Song,Wewe ni Nani

Album,Kiboko yake ni Usingizi, Album vol 6

Language Swahili)

Annoint Amani booking
Instagram Annoint Amani
+255767240181 = +255755099942 Dar es Salaam Tanzania )

VIDEO,DIRECTED BY KHERI ONE +255693 354 566 ( HANSCANA DRAND )

AUDIO ,A.E.A TONES PRODUCER BY MEDDY )

Комментарии

Информация по комментариям в разработке