EE BWANA KUMBUKA REHEMA ZAKO= ZABURI 25:4–7/ John S. Mgandu: Official video

Описание к видео EE BWANA KUMBUKA REHEMA ZAKO= ZABURI 25:4–7/ John S. Mgandu: Official video

#Amatha_K #EeBwanakumbukarehema #JohnMgandu

""SAFARI YANGU YA MWISHO IKIFIKA, WIMBO HUU MUUIMBE SANA"" by John S. Mgandu. Maneno haya alitamka siku nne kabla ya kifo chake.

Zaburi 25: 4–7
Ee Bwana, kumbuka rehema zako na fadhili zako, Maana zimekuwako tokea zamani.

1.Ee Bwana, unijulishe njia zako, Unifundishe mapito yako, Uniongoze katika kweli yako, Na kunifundisha. Maana Wewe ndiwe Mungu wa wokovu wangu.

2. Usiyakumbuke makosa ya ujana wangu, Wala maasi yangu. Unikumbuke kwa kadiri ya fadhili zako, Ee Bwana kwa ajili ya wema wako.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке