Prof Jay: Thamani ya mtu inatokana na aliyofanya akiwa hai, Ruge amegusa wengi

Описание к видео Prof Jay: Thamani ya mtu inatokana na aliyofanya akiwa hai, Ruge amegusa wengi

Mbunge wa Mikumi na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Joseph Haule maarufu Prof Jay ameelezea safari ndefu ya muziki aliyopitia huku akisaidiwa na #RugeMutahaba katika hatua nyingi hadi kufikia alipo leo.
#JasiriMuongozaNjia #RugeMutahaba #TutaonanaBaadae #PumzikaRuge

Комментарии

Информация по комментариям в разработке