KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Rahisi | Mapishi Rahisi ya KALIMATI

Описание к видео KALIMATI | Jinsi ya Kupika KAIMATI Rahisi | Mapishi Rahisi ya KALIMATI

Kalimati. Jifunze jinsi ya kupika kaimati tamu Sana nyumbani. Haya Ni mapishi rahisi ya kalimati. Mahitaji yake Ni rahisi kwa Kila familia.
MAHITAJI;-
Unga wa ngano (1250g)
Hamira (Kijiko 1 na nusu Cha chakula)
Baking powder (Kijiko 1 Cha chai)
Maji ya vuguvugu (1000-1200ml)
Sukari (vijiko 3 vya chakula)
Maziwa ya unga (vijiko 3 vya chakula)
Siagi iliyoyeyuka (vijiko 4 vya chakula)
Iliki (Kijiko 1 Cha chai)

SHIRA;-
Maji (kikombe 1)
Sukari (kikombe 1)
Vanilla (Kijiko 1 Cha chai)

Комментарии

Информация по комментариям в разработке