Logo video2dn
  • Сохранить видео с ютуба
  • Категории
    • Музыка
    • Кино и Анимация
    • Автомобили
    • Животные
    • Спорт
    • Путешествия
    • Игры
    • Люди и Блоги
    • Юмор
    • Развлечения
    • Новости и Политика
    • Howto и Стиль
    • Diy своими руками
    • Образование
    • Наука и Технологии
    • Некоммерческие Организации
  • О сайте

Скачать или смотреть Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

  • Bishop Dr. Fredrick Simon
  • 2022-11-11
  • 2030
Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9
  • ok logo

Скачать Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9 бесплатно в качестве 4к (2к / 1080p)

У нас вы можете скачать бесплатно Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9 или посмотреть видео с ютуба в максимальном доступном качестве.

Для скачивания выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Cкачать музыку Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9 бесплатно в формате MP3:

Если иконки загрузки не отобразились, ПОЖАЛУЙСТА, НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если у вас возникли трудности с загрузкой, пожалуйста, свяжитесь с нами по контактам, указанным в нижней части страницы.
Спасибо за использование сервиса video2dn.com

Описание к видео Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Mapigo Ya Baragumu Sura ya 8 na 9

Mapigo ya baragumu sita za mwanzo – Sura ya 8 na ya 9

Tuliangalia hapo juu, kwamba 8:1-5, hutaja habari za pigo la Muhuri ya Saba, wakati Mungu anajibu maombi ya watakatifu waliochinjwa kwa ajili ya ushuhuda wa Neno la Mungu, maombi yaliyoombwa wakati wa muhuri ya Tano (6:9-11). Sasa, yanayofuata ni mapigo ya Baragumu saba. Mapigo yote haya yatawapata wanadamu waliokataa kumwamini Yesu kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao.

Baragumu ya Kwanza: Kutatokea mvua ya mawe na moto vilivyochangamana na damu 8:7. Pigo hili linafanana na pigo la saba juu ya Misri wakati wa Musa – Kutoka 9:18, 22-25.

Baragumu ya Pili: Theluthi ya bahari itageuzwa kuwa damu 8:8,9. Pigo hili lilikuwa ni pigo la kwanza la Musa juu ya Misri – Kutoka 7:20,21.
“Aligeuza damu mito yao. Na vijito wasipate kunywa” ZABURI 78:44

Baragumu ya Tatu: Theluthi ya maji yatakuwa machungu 8:10,11.
“13 Naye Bwana asema, Ni kwa sababu wameiacha sheria yangu niliyoweka mbele yao, wala hawakuitii sauti yangu, wala kuenenda katika hiyo; 14 bali wameenenda katika ushupavu wa mioyo yao wenyewe; na kuandamana na Mabaali, kama walivyofundishwa na baba zao. 15 Basi, Bwana wa majeshi, Mungu wa Israeli, asema hivi, Tazama, nitawalisha pakanga, naam, watu hawa, nami nitawapa maji ya uchungu wayanywe.” Yeremia 9:13-15.


Baragumu ya Nne: Theluthi ya jua, mwezi na nyota kupigwa ili pawepo giza 8:12. Hilo lilikuwa pigo la tisa katika Misri. Kutoka 10:21-23.

Baragumu ya Tano: Inatolewa ‘Ole’, ndipo mapepo mfano wa nzige watatokea juu ya nchi 9:1-12. Pigo kama hili lilikuwa ni pigo la nane juu ya Misri – KUTOKA 10:12-15.

Hawa nzige katika baragumu hii ya tano, si nzige wa kawaida, bali ni mapepo. Kwa sababu:-
i. Watatoka katika moshi wa kuzimu, ni viumbe wa kutoka kuzimu; hawatadhuriwa na moto wala moshi 9:3.
ii. Hawatakula majani, nzige wa kawaida hula majani 9:4.
iii. Watawatesa wanadamu, kinyume cha nzige wa kawaida 9:5,6.
iv. Nzige hawa wana mfalme 9:11. Tunasoma katika Mithali 30:27 kwamba nzige wa kawaida hawana mfalme.

Baragumu ya Sita: Itatolewa ‘Ole’ ya pili, ndipo malaika wanne wa ghadhabu watafunguliwa, nao wanakuja na watu wa ajabu kutoka kuzimu. Idadi ya watu wapatao milioni mia mbili (200,000,000) - 9:13-21.

Baragumu ya Saba: Inatajwa katika sura ya 11:15-19, wakati wa kipindi cha Pili cha Dhiki Kuu.


#ufunuowayohana #bishop #fredricksimon

Комментарии

Информация по комментариям в разработке

Похожие видео

  • FAFANUZI KUHUSU MAKANISA SABA(7) YA ASIA NDOGO - 2. SMIRNA (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    FAFANUZI KUHUSU MAKANISA SABA(7) YA ASIA NDOGO - 2. SMIRNA (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    3 года назад
  • Mch Moses Magembe - UNABII UNAOTIMIA KATIKA TAIFA LA  ISRAEL
    Mch Moses Magembe - UNABII UNAOTIMIA KATIKA TAIFA LA ISRAEL
    Трансляция закончилась 12 дней назад
  • Mch Moses Magembe - KITABU CHA 1WAKORINTHO
    Mch Moses Magembe - KITABU CHA 1WAKORINTHO
    Трансляция закончилась 4 года назад
  • JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible
    JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible
    11 месяцев назад
  • Fafanuzi rahisi ya Kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Watakatifu Kipindi Cha Dhiki Kuu (Sura ya 7)
    Fafanuzi rahisi ya Kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Watakatifu Kipindi Cha Dhiki Kuu (Sura ya 7)
    3 года назад
  • Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Sura ya 10 (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Sura ya 10 (Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    3 года назад
  • Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne)
    Fafanuzi rahisi ya kitabu cha Ufunuo wa Yohana - Kipindi cha Dhiki Kuu (Muhuri nne na Farasi wanne)
    3 года назад
  • Maandalizi Ya Unyakuo Wa Kanisa (SOMO ZIMA)
    Maandalizi Ya Unyakuo Wa Kanisa (SOMO ZIMA)
    7 лет назад
  • UJIO WA DINI NA SERIKALI MOJA DUNIA NZIMA.(Askofu Ngonyani & Askofu Katunzi).
    UJIO WA DINI NA SERIKALI MOJA DUNIA NZIMA.(Askofu Ngonyani & Askofu Katunzi).
    4 года назад
  • DALILI ZA KUNYAKULIWA KWA KANISA | Askofu Dr. Fredrick Simon
    DALILI ZA KUNYAKULIWA KWA KANISA | Askofu Dr. Fredrick Simon
    10 месяцев назад
  • Fafanuzi Rahisi Ya Kitabu Cha Ufunuo Wa Yohana - Sura Ya 4 (Wazee 24 na Wenye Uhai wa 4)
    Fafanuzi Rahisi Ya Kitabu Cha Ufunuo Wa Yohana - Sura Ya 4 (Wazee 24 na Wenye Uhai wa 4)
    3 года назад
  • Uchambuzi wa kina7; Vita vya Iran.(nani atawahi kuchoka?)
    Uchambuzi wa kina7; Vita vya Iran.(nani atawahi kuchoka?)
    57 минут назад
  • ASKOFU NGONYANI NA ASKOFU KATUNZI WATOA MSIMAMO KUHUSU CHANJO.
    ASKOFU NGONYANI NA ASKOFU KATUNZI WATOA MSIMAMO KUHUSU CHANJO.
    4 года назад
  • MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
    MAFUNDISHO SAHIHI KUHUSU KITABU CHA UFUNUO WA YOHANA
    2 года назад
  • MJUMUISHO WA MAKANISA SABA (7) YA ASIA NDOGO
    MJUMUISHO WA MAKANISA SABA (7) YA ASIA NDOGO
    3 года назад
  • ‼️ Иран бомбит Дубай и базы США. Россия помогает Ирану. ВСУ едут на Ближний восток / Выпуск новостей
    ‼️ Иран бомбит Дубай и базы США. Россия помогает Ирану. ВСУ едут на Ближний восток / Выпуск новостей
    Трансляция закончилась 6 часов назад
  • 3AM  ||  Mswada #1  ||  UJUMBE WA MALAIKA WATATU
    3AM || Mswada #1 || UJUMBE WA MALAIKA WATATU
    4 года назад
  • Fafanuzi rahisi ya kitabu cha UFUNUO WA YOHANA  - Sura ya 11(Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    Fafanuzi rahisi ya kitabu cha UFUNUO WA YOHANA - Sura ya 11(Na Bishop Dr. Fredrick Simon)
    3 года назад
  • MAJUMA SABINI 70 YA DANIELI, katika KITABU CHA DANIELI - Sura ya 9 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)
    MAJUMA SABINI 70 YA DANIELI, katika KITABU CHA DANIELI - Sura ya 9 (Na. Askofu Dr. Fredrick Simon)
    1 год назад
  • 7 БИБЛЕЙСКИХ ОТКРОВЕНИЙ ОБ ИРАНЕ, КОТОРЫЕ ПРОИСХОДЯТ ПРЯМО СЕЙЧАС
    7 БИБЛЕЙСКИХ ОТКРОВЕНИЙ ОБ ИРАНЕ, КОТОРЫЕ ПРОИСХОДЯТ ПРЯМО СЕЙЧАС
    10 дней назад
  • О нас
  • Контакты
  • Отказ от ответственности - Disclaimer
  • Условия использования сайта - TOS
  • Политика конфиденциальности

video2dn Copyright © 2023 - 2025

Контакты для правообладателей video2contact@gmail.com