Annoint Amani - Mungu umenitisha naogopa ( official music video )

Описание к видео Annoint Amani - Mungu umenitisha naogopa ( official music video )

#Mungu#umenitisha#naogopa#

Ni bahati na heshima kubwa sana kuitwa mtumishi wa Mungu,
maana Mungu ni mkuu sana kuliko hata tunavyo muelezea kwa watu,
Ukipata neema ya kuokoka na kumjua Mungu kwa sehemu ndogo tu,
Nivyema kuogopa na kunyenyekea saana sio rahisi na sio kawaida kuitwa Mtumishi wa Mungu mkuu mwenyezi alie hai 🙏



Annoint Amani

👇
Song,Mungu umenitisha naogopa

Language Swahili)

👇

Tiktok, Annoint Amani tz,

Whatsapp &call +255767240181=
+255755099942)

👇

Video,Directed by qumban ( +255758082108 )

Audio,A.E.A Tones studio producer by Meddy
+255748262634 )

Dar Es salaam Tanzania )

Комментарии

Информация по комментариям в разработке