VICOBA ILIYOANZISHWA BILA MTAJI ILIVYOTUSUA

Описание к видео VICOBA ILIYOANZISHWA BILA MTAJI ILIVYOTUSUA

Watu wengi wamekuwa wakihofia kujiunga katika vikundi vya ujasiriamali maarufu kama vicoba kwa kisingizio cha kutokuwa na mtaji wa kutosha huku wengine wakihofia tetesi za kufilisiwa watakaposhindwa kurejesha mikopo wanayochukua.
Wajasiriamali kutoka Faith Vicoba jijini Dar es Salaam wanaeleza jinsi walivyoanza bila mtaji na kufikia mafanikio makubwa ambayo wanaeleza katika kipindi hiki.
Katika kuthibitisha kwa vitendo hatua kubwa waliyopiga kimaendeleo, Faith Vicoba wanatarajia kuzindua bidhaa zao wenyewe Mei 30, 2021 ili kuweza kukuza mfuko wao.

#vicoba #faithvicoba #ujasiriamali

Комментарии

Информация по комментариям в разработке