Mwanzo Mwisho Masauni, Mbowe, Batilda, Mnyika na Mchinjita Wakizungumza Msibani Tanga

Описание к видео Mwanzo Mwisho Masauni, Mbowe, Batilda, Mnyika na Mchinjita Wakizungumza Msibani Tanga

Viongozi mbalimbali wa CHADEMA, ACT-Wazalendo na Serikali wakitoa salamu za rambirammbi katika msiba wa aliyekuwa kiongozi wa CHADEMA, Alli Kibao ambaye alikutwa ameauawa baada ya taarifa za kutekwa kwake akiwa anaelekea nyumbani kwake Tanga kutokea Dar es Salaam.

Комментарии

Информация по комментариям в разработке