Zifahamu Faida za Ufuagaji wa Samaki Kwa Njia ya Kisasa

Описание к видео Zifahamu Faida za Ufuagaji wa Samaki Kwa Njia ya Kisasa

#busokelotv #ufugajisamaki#samaki#ufugaji#
Kumekuwa na ongezekla watu wengi mijini na vijijini kuingia katika ufugaji wa samaki, Miradi hii imekuwa ikigharimu fedha nyingi katika uanzishwaji wake, Ili mfugaji aweze kuwa na ufugaji wenye tija, hana budi kujifunza ufugaji wa samaki kwa njia ya kisasa ambao hufanyika kwenye mabwawa ya kuchimbwa au visima na vifaa vingine vinavofanana na hivyo, vyenye uwezo wa kufugia samaki.

KWA MATANGAZO, WASILIANA NASI
Email: [email protected]
Simu: 0762684745 au 0674217445
Karibu sana

Комментарии

Информация по комментариям в разработке