SIFA NA UTUKUFU _MORAVIAN EFATHA CHOIR (OFFICIAL VIDEO)

Описание к видео SIFA NA UTUKUFU _MORAVIAN EFATHA CHOIR (OFFICIAL VIDEO)

Wajibu mkubwa wa kila Mkristo ni kumwadhimisha Bwana kwa sifa na ukuu wake maana yeye ni Mungu aketie katika sifa za Izraeli Zaburi 22:3

Moravian Efatha Choir tumeamua kusimama kwa zamu yetu kumtukuzaMungu kwa kumrudishia utukufu wote anayestahili.

Na zaidi ya yote tunaahidi kuendelea kumrudishia sifa na utukufu maana anastahiri heshima na utukufu

Mtunzi: Mwl. Fred Mwamakula
Audio Production: Fresters Records
Video Production :Syberpic Film

Комментарии

Информация по комментариям в разработке