8 AUDIO MIXER INPUT: UNAWEZA UNGUZA VYOMBO VYA MZIKI KWA SAUTI NDOGO - BENSON MSECHU

Описание к видео 8 AUDIO MIXER INPUT: UNAWEZA UNGUZA VYOMBO VYA MZIKI KWA SAUTI NDOGO - BENSON MSECHU

Ni watu wachache sana huwa wanatafuta kujua aina ya signal zinazoingia kwenye input ya audio Mixer kwa sababu zipo kiteknikali sana na hivyo inakuwa ngumu Mtu kutafsiri maana yake kutoka kwenye Manual Book.

Madhara ya kutokujua namna input zilizopo kwenye audio mixer inavyopokea signal inaweza kukuletea hasara ya kuunguza vyombo mara kwa mara pamoja na kutokupata usikivu mzuri. Kufahamu dhana hii itakuokolea gharama kubwa sana kwenye uharibifu vya vyombo vyako vya muziki pasipo sababu za msingi.

Tunaangalia Mixer ya Mackie 1202 VLZ3

Benson Msechu ni mbobezi kwenye Tasnia hii ya Uhandisi wa Sauti kwa miaka Mingi katika Kushari, kubuni mifumo mbali mbali ya mziki pamoja na maswala ya AKUSTIKI TREATMENT.

Benson Msechu
Mhandisi wa Sauti

Phone: +255 752 025 991
Email: [email protected] | Insa: soundsystemtz

Комментарии

Информация по комментариям в разработке