16 JIFUNZE KIFAA CHA CROSSOVER_DBX 234XL - BENSON MSECHU

Описание к видео 16 JIFUNZE KIFAA CHA CROSSOVER_DBX 234XL - BENSON MSECHU

Ukifahamu Msingi wa Mwanzo wa kitu chochote utakuwa na uwezo mkubwa wa kuepuka uharibifu wa vifaa unaotokana na kukosa maarifa sahihi ya kuvitumia vifaa vyako vya Muziki. Nimekuweka Msingi utakao kusaidia kuelewa zaidi namna Crossover inavyofanya kazi ili kukupati Muziki Mzuri na kuvilinda vifaa Vyako.

Nikujulishe Kuwa Kitabu cha KUTAWALA VIFAA VYAKO VYA MUZIKI: KANUNI ZA MSINGI sasa kinapatikana. Kupata nakala yako unaweza kuwasiliana nami kwa hapo chini.

Kwa wale ambao wangependa pia kujiunga na kundi la whatsapp...unaweza nitumia message kwenye whatsapp.

Benson Msechu
Mshauri na Mkufunzi wa Vyombovya Muziki.
Phone: +255 752025991
email: [email protected]

Комментарии

Информация по комментариям в разработке